#gchologics
1,033 Posts
Didn't know house interview could be this fun... Wait till it gets uploaded on YouTube.. #Gchologics
Sometimes you gotta give them your back if at all you want to move forward.. #Gchologics
Watu wanazeeka kabla Miaka zao Menopause inakua achieved mapema Infant anazaliwa kama ashatoa meno Mshindi kujulikana kabla hata competition ianze Orphans Ndio wamebaki waki'watch Family Tv Wamesahau kuomba Mungu Wanaona matajiri Ndio watajibu maombi Dignity yako hai'count, Kwa mtu ameingizwa box na ma'Sms Prayer line kwa pulpit Zimekua replaced na line ya paybill Bibilia Husema Lakini ikifika ni time ya kuapisha mwizi Hushinda imebaki silent Success si kupanda ndege Ile ni means of travel Wengi wetu bado hatujafika Despite kuitwa wasafiri na wapita njia Mahali Sura inaku'betray Usijaribu ku'fake age Wanapenda story za Vifo That's why utawapata kwa discussion groups wakichangia Mada 📸 KKabatila KavatKKabatila Kavatshot it #Gchologics 💪
Wanasema kutembea kwa mvua ni therapy So na hii Njeve nataka nikuonyeshe some love Tunyeshewe nione vile utani embrace Pillow fights kwa Sana nione ka utani'chase Hakuna time ya kuskia uwivu Kama Kuna latest na old classics za kuskiza Niulize about Lionel Ritchie Nione kama Kuna ngoma ametoa ile mbichi Ama u'test I.Q yangu na professor Ju Najua favorite series yako hua ni La Casa Wee ni ka simu imekataa kuRing So Niko hapa kuset the tone right Hakuna siku tutawai kosa za Maziwa Kama effort yako na yangu Combined ni ya kusaka Maziwa.... #Gchologics 💪
One day you'll leave this world behind So live a life you'll be happy to remember Be free!! live free!! #Gchologics 💪
My ultimate goal is to make an income whilst making an impact because what takes me 30 minutes to do for you today took me months/years of research to learn. - Talent Manager - #Gchologics
Good morning folks, tomorrow I'll be in Juja for some awesome music and poetry do join me from 6 in the evening na entrance is definitely freeeeeeeee 👌👌👌 #Gchologics
Mungu bariki kazi ya Mikono yangu Si kwa uwezo wangu But nijaze na nguvu zako nikichoka Ndoto yangu ni kufanya hii Sanaa kwa Sana Wengine wakisimamisha dunia na kukimbia Wacha portion yangu isikue ya kusimamisha magari kwa stage Chenye nafanya si ya kubahatisha That's why nikishika Mic mihuishika na nia nzuri Si ya kujipiga kifua ama kuongeza kiburi Sa zingine mihujisahau hadi nakusahau But hiyo haijawahi fanya unipe kisogo Hiyo patience yako Ndio naomba unigawie Anytime mihukutaka wewe hujitokeza Hata kama si physically Signs zile mihuona najua huyo ni Wewe unaongea Mungu bariki kazi ya Mikono yangu... #Gchologics 💪
Guys this one here should be a plan come end of this month courtesy of @unchainedguts #Gchologics #mondaymotivation
This new month let's appreciate the things we work hard for. Shot by @Kabatilakavat Ornaments by Fashion Picha #Gchologics
Don't wait for perfection 💯 roll deep in it n do what you gotta do . #Gchologics
I donno what it takes to be a hero but the small acts of sacrifice , being an inspiration to people that matter to you , doing the impossible and standing for what you believe is what makes us heroes . HAPPY MASHUJAA DAY FOLKS 💪💪💯 #Gchologics 💯